sw_tn/num/09/01.md

32 lines
973 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwezi wa kwanza
"katika mwezi wa. 1" Huu ni mweziwa kwanza wa Kalenda ya Kihebrania. Inaanzia pale Mungu alipowatoa Wana wa Israeli kutoka Misri
# mwaka wa pili
"mwaka wa 2"
# baada ya kutoka katika nchi ya Misri
Kirai cha "kutoka katika" kinamaanisha kuondoka. "Baada ya kuondoka katika nchi ya Misri"
# Wana wa Israeli ... katika wakati wake
Neno "wakati wake" linamaanisha wakati uliopangwa "muda wa nyuma". Hii inamaanisha watakapokuwa wakiimbuka kila mwaka.
# Siku ya kum na nne ... kwa muda uliopangwa
Huu ni wakati wa uliopangwa kwa mwaka ili waisherehekeePasaka. "katika siku ya kumi na nne ... wataikumbuka, kwa kuwa huu ndio muda wa kuisherehekea kwa kila mwaka"
# siku ya kumi na nne
"siku ya 14"
# fuata sheria zake zote na ufuate taratibu zake zote
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kimoja, Vimetumika kuonyesha msisitizo wa kuzitii amri.
# utaikumbuka
neno "ku" itunza" ni nahau inayomaanisha kuikumbuka. "mtaikumbuka" au "mtaisherehekea"