28 lines
689 B
Markdown
28 lines
689 B
Markdown
|
# Mahali pa hekalu letu ni kiti cha enzi
|
||
|
|
||
|
Yeremia anafananisha hekalu na "kiti cha enzi cha utukufu" kwa sababu kuna pale ambapo Bwana anakaa na kutawala.
|
||
|
|
||
|
# Mahali pa hekalu letu
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha Sayuni huko Yerusalemu.
|
||
|
|
||
|
# Wote ambao wanakuacha
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "wewe" linamaanisha Bwana.
|
||
|
|
||
|
# Wale walio katika nchi ambao wanageuka kutoka kwakowatauliwa
|
||
|
|
||
|
"Wewe utawaangamiza wale walio katika nchi ambao hugeuka kutoka kwako"
|
||
|
|
||
|
# chemchemi ya maji yaliyo hai
|
||
|
|
||
|
Yeremia anafananisha Bwana na chemchemi ya maji safi. AT "chemchemi ya maji safi, ya maji" au "chanzo cha maisha yote"
|
||
|
|
||
|
# Nitaponywa ... Nitaokolewa
|
||
|
|
||
|
"hakika utaniponya ... utakuwa umenipenda"
|
||
|
|
||
|
# wimbo wangu wa sifa
|
||
|
|
||
|
"ambaye nitamsifu"
|