28 lines
762 B
Markdown
28 lines
762 B
Markdown
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
Hili neno linatumika kuleta usikivu wa mtu kwa kile kitakachosemwa. "Sikiliza"
|
||
|
|
||
|
# jina la Yahwe
|
||
|
|
||
|
Hapa Yahwe inarejewa kwa jina lake. "Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# juu ya sehemu
|
||
|
|
||
|
"juu ya eneo la ngozi lenye ugonjwa" au "juu ya ukoma wangu"
|
||
|
|
||
|
# Je sio Abana na Faepari, mito ya Damaskasi, bora kuliko maji yote ya Israeli?
|
||
|
|
||
|
Naamani anatumia hili swali lisilokuwa na majibu kusisitiza kwambwa Abana na Faepari ni mito mizuri kuliko Yordani.
|
||
|
|
||
|
# Abana na Faepari
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya mito.
|
||
|
|
||
|
# Je siwezi kuoga ndani yao na kuwa safi?
|
||
|
|
||
|
Naamani anatumia swali lisilo na majibu kusisitiza kwamba angeweza kuoga katika mito mingine kirahisi. Anaamini kwamba kuoga katika hayo yangeweza kumponya kama kuoga katika Yordani.
|
||
|
|
||
|
# kwenda kwa hasira
|
||
|
|
||
|
"alikuwa na hasira kana kwamba alienda"
|