44 lines
1.6 KiB
Markdown
44 lines
1.6 KiB
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yohana anaelezea sababu inayomfanya kuandika barua yake ama kwa vikundi vyenye umri mbalimbali au kwa waamini wanaotofautiana katika ukomavu. Barua yenyewe imeandikwa kwa mtindo wa kishairi.
|
||
|
|
||
|
# watoto wapendwa
|
||
|
|
||
|
Yohana ni mzee na kiongozi wao. Alitumia maelezo haya kuonyesha upendo kwa aji yao. : "Watoto wangu wapendwa katika Kristo" au "ninyi mlio wapendwa kama watoto wangu mwenyewe." Tazama maelezo katika sura ya 2:1 uone linavyofafanuliwa.
|
||
|
|
||
|
# dhambi zenu zimesamehewa
|
||
|
|
||
|
"Mungu husamehe dhambi zenu"
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili ya jina lake.
|
||
|
|
||
|
"jina lake" humaanisha Kristo na alivyo yeye. :"kwa sababu ya kile Kristo amefanya kwa ajili yenu"
|
||
|
|
||
|
# Nawaandikia ninyi, akina baba,
|
||
|
|
||
|
Neno "akina baba" hapa linaweza kuwa fumbo au mfano ukimaanisha waamini waliokomaa. : "Ninawaandikia ninyi, waamini mlikoamaa
|
||
|
|
||
|
# mnamjua
|
||
|
|
||
|
"mna uhusiano na"
|
||
|
|
||
|
# yeye aliye wa tangu mwanzo.
|
||
|
|
||
|
"yeye ambaye amekuwa akiishi siku zote" au "yeye ambaye amekuwako siku zote." humaanisha Yesu au Mungu Baba."
|
||
|
|
||
|
# vijana,
|
||
|
|
||
|
Hili inawezekana kumaanisha wale wasio waamini wapya tena, bali ni wale wanokua katika ukomavu wa kiroho
|
||
|
|
||
|
# mko imara,
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "imara" halimaanishi nguvu za kimwili za waamini, bali ni ule uaminifu wao kwa Kristo.
|
||
|
|
||
|
# neno la Mungu linakaa ndani yenu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamaanisha lile ongozeko la uaminifu wa waaminio kwa Kristo na ufahamu wao juu Yake kana kwamba alikuwa akiongelea neno la Mungu likiishi ndani yao. : "Ninyi mnaolijua neno la Mungu"
|
||
|
|
||
|
# mmemshinda
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumzia juu ya maaminio kukataa kumfuata Shetani na kuipinga kwao mipango yake kana kwamba mambo hayo yamekuwa ni jambo la kumshinda yeye.
|