sw_tn/1co/03/14.md

20 lines
506 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Maneno "mtu" , "chochote mtu" "yeye" na " yeye mwenyewe" yanahusiana na washirika( waumini)
# kitabaki
"Salia" au "kubakia"
# Kama kazi ya mtu itateketea
"Kama moto utaharibu kazi ya mtu yeyote" au "Kama moto utahapoteza kazi ya mtu yeyote."
# Yeyote...yeye...mwenyewe
Haya maneno yanaonyesha "mtu""mtu" au "yeye"
# Atapata hasara.Lakini yeye mwenyewe ataokolewa
"Atapoteza kazi ile na tuzo yoyote anaweza kupata kama kazi ile itastahimili katika moto, lakini Mungu atamwokoa."