sw_tn/rom/11/22.md

8 lines
235 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# matendo mema na ukali wa Mungu
Paulo anawakumbusha waamini wa Mataifa kwamba japokuwa Mungu amekuwa mwema sana kwao, hatasita kuwahukumu na kuwaadhibu.
# Vinginevyo wewe pia utakatiliwa mbali
"Vinginevyo Mungu atakukatilia mbali"