24 lines
985 B
Markdown
24 lines
985 B
Markdown
|
# Kwa maana uumbaji ulitiishwa chini ya ubatili
|
||
|
|
||
|
"Kwa maana Mungu alisababisha kile alichokiumba kisiweze kufikia lengo ambalo alilolikusudia"
|
||
|
|
||
|
# sio kwa mapenzi yake, bali yake yeye aliyevitiisha
|
||
|
|
||
|
Hapa "uumbaji" umeelezwa kama mtu ambaye anaweza kutamani. "sio kwa sababu kwamba hiki ndicho vitu vilivyoumbwa vilihitaji, bali kwasababu ndicho ambacho Mungu alihitaji"
|
||
|
|
||
|
# ni katika tumaini kwamba uumbaji wenyewe utawekwa huru
|
||
|
|
||
|
"Kwasababu Mungu alijua kwamba atauokoa uumbaji."
|
||
|
|
||
|
# kutoka utumwa hadi uharibifu
|
||
|
|
||
|
Paulo anavilinganisha vitu vyote katika uumbaji na watumwa na "uharibifu" wao. "kutoka kuoza na kufa"
|
||
|
|
||
|
# kwenye uhuru wa utukufu wa wana wa Mungu
|
||
|
|
||
|
"na atawaweka huru atakapowapa heshima watoto wake"
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana twajua ya kuwa uumbaji nao pia unaugua na kuteseka kwa uchungu pamoja hata sasa
|
||
|
|
||
|
Uumbaji unalinganisha na mwanamke anavyougua wakati wa kuzaa mtoto. "Kwa maana twajua ya kuwa kila kitu ambacho Mungu amekiumba kinataka kuwa huru na huugua kama mwanamke anayezaa"
|