sw_tn/rom/08/18.md

28 lines
653 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anatukumbusha kuwa miili yetu itabadilishwa katika ukombozi wa miili
# Kwa
Hii inasisitiza "Mimi nafikiri." Haimaanishi "kwasababu"
# Mimi nafikiri kwamba...haistahili kulinganishwa na
"Mimi sifikiri kwamba...yanastahili kulinganishwa na"
# itafunuliwa
"Mungu atayafunua" au "Mungu atafanya yajulikane"
# viumbe vinatazamia kwa shauku
Kila kitu ambacho Mungu ameumba kimeelezwa kama mtu anayengoja kitu kwa shauku.
# kwa kufunuliwa kwa wana wa Mungu
"kwa wakati ambao Mungu atawafunua watoto wake"
# wana wa Mungu
Hapa hii imaanisha walioamini wote katika Yesu na mara nyingi imetafsiriwa kama "watoto wa Mungu"