sw_tn/rom/02/28.md

24 lines
740 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa nje
Hii inamaanisha mambo ya nje ya Kiyahudi ambayo watu wanayaona.
# Siyo ya nje tuu katika mwili
Hii inamaanisha mabadiliko ya nje katika mwili wa binadamu.
# Ni Myahudi kwa ndani, na tohara ni ile ya moyoni
Mistari hii miwili ina maana inayofanana. Mstari unaosema, "Ni Myahudi kwa ndani," inaelezea kuwa, "tohara ni ile ya moyoni."
# Ndani
Hii inaonyesha thamani na motisha ya mtu ambaye Mungu amembadilisha.
# Kwa Roho, sio kwenye barua
"Barua" ni sehemu ndogo ya maandishi katika lugha. Hapa inamaanisha maandiko. "kupitia kazi ya roho mtakatifu, sio kwa sababu unajua maandiko."
# Kwa Roho
Hii inaweza kuwa na maana ya ndani, sehemu yakiroho ya mtu, tofauti na nje "barua" ya sheria. Pia inamaana ya Roho Mtakatifu.