sw_tn/rom/01/11.md

20 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea kuweka wazi maelezo yake kwa watu wa Rumi kwa kuelezea shauku yake ya kuwaona mmoja mmoja.
# Kwa kuwa natamani kuwaona
"kwa kuwa nataka kuwaona"
# Kwa kuwa
"kwa sababu"
# baadhi ya zawadi za roho, ili kuwatia nguvu
"baadhi ya zawadi toka kwa Roho Mtakatifu, ambayo itawasaidia na kuwatia nguvu"
# Ambayo ni, mfarijiane kati yenu, kupitia imani ya kila mtu, yenu na yangu
"Namaanisha kwamba nataka tutiane moyo kwa kutumia uzoefu wa imani yetu kwa Yesu"