20 lines
676 B
Markdown
20 lines
676 B
Markdown
|
# Je, tutayachinja haya makundi ya ng'ombe na kondoo ili kuyatosheleza? Je tutawakamaata hawa samamki wote wa baharini ili kuwatosheleza?
|
||
|
|
||
|
"Tutatakiwa kuwachinja makundi yote ya ng'ombe na kuwakama samaki wote wa baharini ili kuwatosheleza!"
|
||
|
|
||
|
# Ng'ombe na makundi
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja. Yametumika kuonyesha msisitizo wa kundi kubwa la wanyama
|
||
|
|
||
|
# Smamki wote wa baharini
|
||
|
|
||
|
Musa ametumia mfano huu ili kuonyesha kuwa ilivyokuwa vigumu kuwapatia chakula watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# ilikuwatosheleza
|
||
|
|
||
|
"kuwatosheleza njaa yao"
|
||
|
|
||
|
# Je, mkono wangu ni mfupi?
|
||
|
|
||
|
"Je, mnadhani kuwa sina uwezowa kuyafanya haya?" au "manapaswa kujua kuwa mimi nina uwezo zaidi wa kuyafanya haya."
|