sw_tn/num/08/12.md

8 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Walawi wataweka mikono yao juu ya hao fahari
Hiki ni kitendo cha ishara kiniachowatambulisha Walawi kuwa sawa na wanyama wanaotolewa sadaka. Kwa namna hii mtu anajitoa mwenyewe kwa BWANA kupitia wanyama.
# uwainue kuwa sadaka ya kutikiswa kwa ajili yangu
"uwaweke wakfu kwangu, kama vile unavyoinua sadaka ya kutikiswa"