sw_tn/num/04/12.md

16 lines
371 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# miti ya kubebea
Hiki ni chombo cha miti chenye umbo la mstatili kilicho na nguzo za kubebea vitu.
# kwa kazi ya madhababahuni
"vinavyotumika wakati wa kutoa huduma ya BWANA mahali patakatifu"
# katika kazi ya madhabahuni
"wakati wa kutoa huduma madhabahuni"
# kuweka ile mitiy a kubebea
"Weka ile miti ya kubebea kwenye zile pete zilizo pembezoni mwa madhabahu"