sw_tn/mrk/03/01.md

20 lines
697 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu amponya mtu siku ya Sabato katika Sinagogi na kuonyesha jinsi anavyojisikia walivyofanya Mafarisayo kuhusiana na sheria za Sabato. Mafarisayo na Maherode wanapanga kumua Yesu.
# Baadhi ya watu
"Baadhi ya Mafarisayo." Badae, katika 3:5, hawa watu wanaonyeshwa kama Mafarisayo.
# mtu aliye na mkono uliopooza
"mtu aliye na mkono uliopooza"
# Baadhi ya watu walimtazama kuona kama atamponya
"Mafarisayo walimtazama Yesu kwa karibu sana kuona kama atamponya na mkono uliopooza"
# mshtaki
Mafarisayo walitaka kumshtaki Yesu kwa kuvunja sheria kwa kufanya kazi siku ya Sabato, je amponye mtu. "kumshtaki yeye kwa kufanya kosa" au " kumshtaki yeye kwa kuvunja sheria"