sw_tn/jer/51/13.md

16 lines
241 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuishi katika vijito vingi vya maji
"wanafuraha na utajiri"
# Uzi ... mfupi
"maisha yako yatakwisha haraka."
# kama pigo la nzige
"kwa idadi kubwa ya askari"
# kilio cha vita
Hizi ni kelele ambazo askari huzifanya anapokuwa vitani.