20 lines
521 B
Markdown
20 lines
521 B
Markdown
|
# Nitarejesha
|
||
|
|
||
|
Bwana anazungumza.
|
||
|
|
||
|
# atakula huko Karmeli na Bashani
|
||
|
|
||
|
"Israeli watakula chakula cha Karmeli na Bashani."
|
||
|
|
||
|
# Siku hizo na wakati huo
|
||
|
|
||
|
"siku hizo" na "wakati huo huo"
|
||
|
|
||
|
# uovu utaangaliwa katika Israeli lakini hautaonekana. Nitauliza juu ya dhambi za Yuda lakini hakuna atakayeziona
|
||
|
|
||
|
Sentensi hizi zina maana moja. Kwa pamoja zinasisitiza kuwa Bwana atasamehe kabisa maovu ya wana wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# ovu utaangaliwa katika Israeli lakini hautaonekana.
|
||
|
|
||
|
"Bwana ataangalia uovu wa wana wa Israeli lakini hatauona"
|