sw_tn/jer/50/14.md

16 lines
274 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anawaambia maadui wa Babeli namna ya kuvamia.
# Kila anayepindisha upinde
Hawa ni askari wanaopindisha upinde na mishale ili kupigana.
# mpigeni
Hapa anazungumziwa Babeli.
# Kuta zake zimeangushwa chini
"Mataifa yameangusha chini kuta zake"