sw_tn/jer/49/07.md

12 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ana ushauri mzuri ... uelewa? Je hekima yao iliharibiwa?
Wazo moja linaelezewa katika njia mbili tofauti.
# Je ushauri mzuri umepotea kwa wale wenye uelewa?
"Inaonesha kuwa hakuna tena watu wenye hekima Temana katika Edomu!"
# Je hekima yao iliharibiwa?
"Ushauri wao hauna hekima tena."