sw_tn/jer/39/01.md

20 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mwaka wa tisa mwezi wa kumi wa Sedekia mfalme wa Yuda
Huu ni mwaka wa kumi kwa kalenda ya Kiebrania. Ni mwishoni mwa mwezi wa Disemba na mwanzoni mwa mwezi wa Januari katika kalenda ya mashariki.
# tisa ... kumi ... kumi na moja ... nne
tisa ... kumi ... kumi na moja ... nne
# Katika mwaka wa kumi na moja mwezi wa nne wa Sedekia, siku ya tisa ya mwezi
Huu ni mwezi wa nne kwa Kalenda ya Kiebrania.
# Nergal-Shareza, Samgari, Nebo na Sasechimu
Haya ni majina ya watu.
# katika lango la katikati
"Katikati ya lango la kuingilia mjini" Ilikuwa ni kawaida kwa viongozi kukaa katika lango la mji na kujadili mambo mbalimbali.