20 lines
330 B
Markdown
20 lines
330 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Uria alikufa kifo cha kinabii katika Yerusalemu.
|
||
|
|
||
|
# Maiti.
|
||
|
|
||
|
"Mwili uliokufa."
|
||
|
|
||
|
# Mkono wa Ahikamu.
|
||
|
|
||
|
Ahakimu alimsaidia Yeremia na kumlinda.
|
||
|
|
||
|
# Elnathani mwana wa Achbori ... Ahikamu mwana wa Shapni.
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya kiume.
|
||
|
|
||
|
# Hivyo hakutiwa mikononi mwa watu ili wamuue.
|
||
|
|
||
|
"Kwa hiyo watu hawakuweza kumuua."
|