32 lines
935 B
Markdown
32 lines
935 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Mikaya alikuwa nabii wa Mungu na alifanya huduma ya unabii huko Yuda katika kipindi cha utawala wa Hezekia.
|
||
|
|
||
|
# Sayuni utalimwa kama shamba.
|
||
|
|
||
|
"Sayuni utaharibiwa."
|
||
|
|
||
|
# Mlima wa hekalu.
|
||
|
|
||
|
Huu ni mlima ambako hekalu lilikuwa limejengwa.
|
||
|
|
||
|
# Vichaka.
|
||
|
|
||
|
Neno hili lina maana ya makundi ya vichaka au miti midogo midogo inayokua pamoja karibu karibu.
|
||
|
|
||
|
# Je, mfalme Hezekia na watu wote wa Yuda walimua Mikaya?
|
||
|
|
||
|
"Hezekia, mfalme wa Yuda na watu wa Yuda hawakumuua Mikaya."
|
||
|
|
||
|
# Je, hakumwogopa Yahwe na kuutaka radhi uso wa Yahwe ili kwamba Yahwe angeghairi kuhusu janga alilotangaza kwao?
|
||
|
|
||
|
Alimwogopa Yahwe na kumfanya Yahwe apunguze hasira ili kwamba Yahwe abadili mtazamo wake kuhusu janga alikuwa amesema atatuma.
|
||
|
|
||
|
# Kuutaka radhi uso wa Yahwe.
|
||
|
|
||
|
"Kuifanya hasira ya Yahwe ipungue."
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo tutafanya maovu makubwa juu ya maisha yetu sisi wenyewe?
|
||
|
|
||
|
"Kamaa tutamuua Yeremia, tutaleta uovu mkubwa juu yetu sisi wenyewe."
|