16 lines
441 B
Markdown
16 lines
441 B
Markdown
|
# Wamekudanganya
|
||
|
|
||
|
"Manabii wamekufanya uamini kitu ambacho si kweli!"
|
||
|
|
||
|
# maono kutoka kwenye mawazo yao wenyewe
|
||
|
|
||
|
"maono waliyofikiria"
|
||
|
|
||
|
# si kwa kinywa cha Bwana
|
||
|
|
||
|
sio kutoka kwa Bwana
|
||
|
|
||
|
# Lakini nani amesimama katika mkutano wa baraza la Bwana? Ni nani anayeona na kusikia neno lake? Ni nani anayezingatia maneno yake na kusikiliza?
|
||
|
|
||
|
Hakuna mtu anayemshauri Bwana. Hakuna mtu anayeelewa kile Bwana anasema. Hakuna mtu anayetii amri za Bwana.
|