16 lines
629 B
Markdown
16 lines
629 B
Markdown
|
# Nitampa
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "yeye" linamaanisha mfalme wa Babeli.
|
||
|
|
||
|
# utajiri wote ... utajiri wake wote, vitu vyote vya thamani na hazina zote
|
||
|
|
||
|
Bwana anarudia wazo moja la msingi mara nne kwa msisitizo. Hiyo ni Babeli itachukua utajiri wote wa Israeli, ikiwa ni pamoja na mali ya Mfalme.
|
||
|
|
||
|
# Nitaweka vitu hivi mikononi mwa adui zako
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "mkono" linamaanisha kuwa milki. AT "Nitawaacha maadui wako kuchukua milki ya vitu hivi" au "Nitawapa vitu hivi kwa adui zenu"
|
||
|
|
||
|
# Wewe na wapendwa wako wote ambao uliwatabiria maneno ya uongo mtazikwa huko
|
||
|
|
||
|
"Huko, watu watakuzika wewe na wapendwa wako wote ambao uliwatabiria mambo ya uongo"
|