sw_tn/jer/15/03.md

16 lines
530 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Bwana amewaambia kuwa atawatuma baadhi yao kufa, wengine kufa kwa upanga, wengine kufa kwa njaa, na wengine kuwa mateka.
# tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 7.
# Nitawafanyia jambo lenye kutisha kwa falme zote za dunia, kwa sababu Manase mwana wa Hezekia, mfalme wa Yuda, alifanya huko Yerusalemu.
Nami nitawafanya kuwa ufalme wa nchi zote kwa sababu ya Manase, mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda, huko Yerusalemu.
# nitawaweka katika makundi manne
"Nitawaweka makundi manne juu yao"