sw_tn/jer/06/13.md

36 lines
672 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutoka kwa mdogo hadi kwa mkubwa
"watau wote wa Israeli waliobaki kutoka kwa mtu dahaifu kabisa hadi mwenye nguvu."
# anatamani mapato ya udanganyifu
"anayefanya mambo mabaya kwa wengine ili apate fedha"
# vidonda vya watu wangu
"matatizo makubwa amabayo watu wangu wanayo"
# kwa juu juu
"kama vile havikuwa vinvauma"
# 'Amani! Amani! na kumbe amani haipo
"Yote yako sawa! kumbe hayako sawa"
# Je, waliona aibu walipofanya machukizo?
"Walifanya dhambi mbaya sana, lakini hawakuna aibu"
# Hawakuona aibu, hawakuwa na aibu
"hawakuona aibu kwa kile walichofanya"
# wataanguka
"watauawa"
# wataangushwa
"watajikwaa" au "watapoteza nguvu zao na kuwa dhaifu"