20 lines
697 B
Markdown
20 lines
697 B
Markdown
|
# Je, mwanamwali anaweza kusahu mapambo yake, na bibi arusi mavazi yake?
|
||
|
|
||
|
"BWANA anaanza kuwakemea watu wake kwa kumsahau"
|
||
|
|
||
|
# kwa siku nyingi
|
||
|
|
||
|
"muda mrefu sana"
|
||
|
|
||
|
# Jinsi mlivyotengeneza njia zenu vizuri ili kutafuta mapenzi. Hata mmewafundisha njia zenu wanawake waovu,
|
||
|
|
||
|
BWANA anasema kuwa Waisraeli wamekuwa wazuri wa kutafuta miungu ya uongo kiasi kwamba wanaweza kumwosha kahaba namna ya kuwakaribisha wateja.
|
||
|
|
||
|
# Damu ambayo ilikuwa ndio uhai wa watu wasio na hatia, imeonekana katika mavazi yenu
|
||
|
|
||
|
Mnahatia ya kuwaua watu masikini na watu wasiokuwa na hatia, watu ambao hawakufanya chocote kuwaumiza."
|
||
|
|
||
|
# Hawa watu hawajawahi kuonekana katika matendo maovu.
|
||
|
|
||
|
"Hmkuwaona hawa watu watu wakiiba"
|