20 lines
974 B
Markdown
20 lines
974 B
Markdown
|
# Taarifa kwa Ujumla:
|
||
|
|
||
|
Habakuki anaendelea kufafanua maono yake ya Yahwe.
|
||
|
|
||
|
# mahema ya wakushi katika mateso, na kitambaa cha mahema ... ya Midiani yanatetemeka.
|
||
|
|
||
|
Watu wa Midiani na Wakushi wanao tetemeka na tikisika kwa woga wanafanana na hema ya nguo ambavyo inaenda wakati upepo unavuma.
|
||
|
|
||
|
# wakushi
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuwa 1) jina la kikundi cha watu wasiojulikana vinginevyo au 2) Kushi ile ile.
|
||
|
|
||
|
# Yahwe alikuwa na hasira pale mtoni? Ghadhabu yako ilikuwa kinyume na mtoni, au chuki yako kinyume na bahari ... magari ya ushindi?
|
||
|
|
||
|
kama lugha yako haina maneno yakutenganisha "hasira" na "ghadhabu" na "chuki" unaweza ukaunganisha misitari: "Yahwe alikuwa na hasira na mito? Chuki yako ilikuwa kinyume na bahari ... magari ya ushindi?" NI: "Yahwe hakuwa na hasira na mito, wala Chuki yako haikuwa kinyume na bahari ... magari ya ushindi."
|
||
|
|
||
|
# fimbo yako juu ya farasi na magari ya ushindi
|
||
|
|
||
|
Kama askari aliongoza farasi au gari katika vita, Yahwe alikuja kuokoa watu wa Isrseli.
|