# Taarifa ya Jumla Hapa 106.48 ni zaidi ya mwisho wa zaburi. NI kauli ya kufunga kwa kitabu chote cha 4 cha Zaburi, ambacho kinaanaza katika Zaburi 90 na kukamilika na Zaburi 106. # Na Yahwe Mungu wa Israeli asifiwe Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Na watu wamsifu Yahwe Mungu wa Israeli" # kwa jina lako takatifu Hapa Yahwe ina maana ya "jina lake takatifu". "kwako" # kutoka milele mpaka milele Hii ina maana ya tofauti kubwa na ina maana ya muda wote. "kwa milele yote"