# Anasema Mungu anasema # nitakata pembe zote za Pembe za mnyama ni sitiari ya nguvu ya mtu. "ondoa nguvu yote kutoka kwa" # pembe za mwenye haki zitainuliwa juu Pembe za mnyama ni sitiari ya nguvu ya mtu. "nitainua pembe za mwenye haki" au "nitamfanya mwenye haki kuwa na nguvu"