# Mbarikini Mungu katika mkusanyiko; msifuni Yahwe, nyie uzao wa kweli wa Israeli "Nyie ambao ni kizazi cha kweli cha Israeli, msifuni Yahwe na mbarikini Mungu katika kusanyiko. # makundi yao "kundi lao." Neno "lao" linamaanisha viongozi wa Yuda.