# Maelezo ya jumla Waisraeli wanajianda kupigana na watu wa Ai. # jeshi kubwa kundi kubwa la watu wapiganaji, si kundi lile lililokuwa katika hali ya kusubiri # walinzi wa nyuma wale walikuwa wamewekwa katika hali ya kuvizia upande wa magharibi mwa mji.