# Kwa nini unatabiri na kusema. Zakaria anatumia swali kumkemea Yeremia. ("Ni vibaya wewe kuendelea kutabiri na kusema.") # Katika mikono ya mfalme wa Babeli na atauteka Hapa, "mikono" inamaana ya nguvu au umiliki. # Kwa maana hakika atatiwa. "Kwa kweli nimeutia mji huu katika mikono ya mfalme wa Babeli. # Mdomo wake utazunguzia kwenye mdomo wa mfalme, na macho yake yatayaona mac ho ya mfalme. "Sedekia mqenyewe atamuona Nebukadreza ana kwa ana na atazungumza naye." # Hili ni tangazo la Yahwe. Angalia sura ya 1:7 # Unapigana. Hapa wanatajwa watu wote katika Yerusalemu.