# Neno la Bwana lililofika "Neno ambalo Bwana Mungu aslilisema" # Beeri. Hili ni jina la mwanaume. # Uzia ... Yothamu ... Ahazi ... Hezekia ... Yeroboamu ... Yoashi Matukio yaliyopo katika kitabu hiki yalitokea katika kipindi cha wafalme hawa. # Ukahaba mkubwa "ukahaba" inawakilisha watu wanavyokuwa sio waaminifu kwa Mungu.