# aliwaambia mlinzi na manahodha Yehu alitoka nje ya hekalu kabla ya kunena na mlinzi. "alirudi nje ya hekalu la Baali na kuwaambia walinzi na manahodha" # kwa ukali wa upanga Kisha watu wakatumia panga kuwaua wamwabuduo Baali. Hili neno linarejea kwa panga zao. "pamoja na panga zao" (UDB) # wakawatupa nje Hii inamaanisha kwamba walizitupa maiti nje za watu ya hekalu. "walizitupa maiti zao nje ya hekalu" # kuifanya choo "kuifanya choo cha uma" Choo ni chumba cha kuogea, au eneo la choo, kawaida kwa ajili ya kambi au majengo yalitumika kwa nyumba ya maaskari. # ambacho kipo hadi leo Hii inamaanisha kwamba hicho kitu kilichosalia katika hali flani hadi wakati huu. "na tangu hapo ilikuwa hivyo siku zote"