forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
278 B
Markdown
8 lines
278 B
Markdown
|
# alituita akilini
|
||
|
|
||
|
"alituwaza"
|
||
|
|
||
|
# kutusaidia katika aibu yetu
|
||
|
|
||
|
Hali ya kuhisi aibu inazungumziwa kana kwamba ni sehemu ambayo Waisraeli walikuwepo. Hii kumbukumbu ya nyakati nyingi ambapo adui wa israeli walishindwa katika vita na kuwaaibisha. "kutujali wakati tulipoaibishwa"
|