forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
493 B
Markdown
12 lines
493 B
Markdown
|
# Walimwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao
|
||
|
|
||
|
Msemo "kumwaga damu" ni tasifida inayoelezeka kutumika kwa ajili ya "mauaji". "Walimwaga damu isiyo na hatia walipowaua wana na binti zao"
|
||
|
|
||
|
# Walinajisiwa kwa matendo yao
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Matendo yao yaliwachafua"
|
||
|
|
||
|
# katika matendo yao wakawa kama kahaba
|
||
|
|
||
|
Hapa Daudi analinganisha kutokuwa waaminifu kwao kwa Yahwe kwa kutokuwa waaminifu kwa kahaba. "walikuwa hawana uaminifu kwa Yahwe kama kahaba"
|