forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
966 B
Markdown
40 lines
966 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# Kwa mwanamuziki mkuu
|
||
|
|
||
|
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
|
||
|
|
||
|
# Zaburi ya Daudi
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
||
|
|
||
|
# kuleta katika kumbukumbu
|
||
|
|
||
|
"zaburi hii iliandikwa kuwasababisha watu kukumbuka"
|
||
|
|
||
|
# wale ambao
|
||
|
|
||
|
"watu ambao"
|
||
|
|
||
|
# kuchukua maisha yangu
|
||
|
|
||
|
Lahaja hii inamaanisha "kuniua"
|
||
|
|
||
|
# waaibike na kudhalilishwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu awaweke katika aibu na kuleta fedheha juu yao"
|
||
|
|
||
|
# acha wageuzwe nyuma na kuletwa kwenye fedheha
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu awageuze na kuwafanya waaibike kwa yale waliyotenda"
|
||
|
|
||
|
# acha wageuzwe nyuma
|
||
|
|
||
|
Kusimamishwa inazungumziwa kama kugeuzwa kutoka kwenye mashambulizi yao. "kusimamishwa"
|
||
|
|
||
|
# wale wanaosema, "Aha, aha"
|
||
|
|
||
|
Hii inaonesha kudhihaki kicheko. "wale wanao nidhihaki na kunicheka"
|