sw_tn/psa/069/010.md

24 lines
823 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nililia na sikula chakula
Ukweli kuwa mwandishi alikuwa akifunga inaashiria kuwa alikuwa na huzuni kuhusu jinsi watu walivyolitendea hekalu la Mungu.
# walinidhihaki
"adui zangu walinilaumu kwa sababu yake"
# nilipofanya magunia kuwa mavazi yangu
Kuvaa vnguo mbaya, za thamani ndogo ni ishara ya kuomboleza juu ya dhambi.
# nikawa kitu cha mithali
Mwandishi anajizungumzia kana kwamba alikuwa ndiye mtu mwenye huzuni au mpumbavu katika mithali. "nikawa mfano wa mtu mwenye huzuni anayezungumziwa katika mithali" au "wananicheka"
# Wale wanokaa katika lango la mji
Hapa "lango la mji" unahusishwa na uongozi wa mji. "Watu muhimu wa mji"
# mimi ni wimbo wa walevi
Mwandishi anajizungumzia kana kwamba alikuwa ndiye mtu ambaye walevi walimkejeli kwa myimbo. "walevi wa mji wanaimba nyimbo za kuudhikunihusu mimi"