forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.1 KiB
Markdown
40 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Zaburi hii ni ombi la msaada.
|
||
|
|
||
|
# Kwa mwanamuziki mkuu
|
||
|
|
||
|
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
|
||
|
|
||
|
# weka katika Shoshannimu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki.
|
||
|
|
||
|
# Zaburi ya Daudi
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa maji yameweka maisha yangu hatarini
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaelezea matatizo maishani mwake kana kwamba alikuwa akizama kwenye mafuriko ya maji. "kwa kuwa ni kama ninazama katika maji"
|
||
|
|
||
|
# ninazama katika matope mengi
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaelezea matatizo maishani mwake kana kwamba anazama katika matopemengi. "Kwa kuwa ni kama ninazama katika matope mengi na nitakufa"
|
||
|
|
||
|
# matope
|
||
|
|
||
|
udongo wa maji maji
|
||
|
|
||
|
# hakuna sehemu ya kusimama
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia kauli hasi kusisitiza jinsi hali ilivyokuwa haiko imara na haileweki.
|
||
|
|
||
|
# Nimekuja katika maji marefu, ambapo mafuriko yanapita juu yangu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaelezea matatizo yake kana kwamba anazama katika mto mrefu wenye vurugu. "nahisa kama niko kwenye maji marefu, na mafuriko ya maji yanapita juu yangu"
|