forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
691 B
Markdown
28 lines
691 B
Markdown
|
# Ameweka wimbo mpya mdomoni mwangu
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "Amenifundisha maneno ya wimbo mpya" au 2) "Amenipa sababu mpya ya kuimba"
|
||
|
|
||
|
# mdomoni mwangu
|
||
|
|
||
|
Hapa "mdomo wangu" inamaanisha mwandishi. "ndani yangu"
|
||
|
|
||
|
# sifa kwa Mungu wetu
|
||
|
|
||
|
"wimbo wa kumsifu Mungu wetu"
|
||
|
|
||
|
# Wengi wataona
|
||
|
|
||
|
Hapa "wataona" inamaanisha kumsikia mwandishi akiimba wimbo kuhusu kile ambacho Mungu amemtendea. "Watu wengi watasikia kile ambacho Yahwe amefanya"
|
||
|
|
||
|
# Amebarikiwa mtu anayemfanya Yahwe tumaini lake
|
||
|
|
||
|
"Amebarikiwa mtu anayemtumaini Yahwe" au "Wale wanaomtumaini Yahwe wamebarikiwa"
|
||
|
|
||
|
# wenye kiburi
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha watu walio na kiburi.
|
||
|
|
||
|
# uongo
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "uongo" au 2) "miungu ya uongo"
|