forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
517 B
Markdown
24 lines
517 B
Markdown
|
# Yahwe
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la Mungu ambalo alilidhihirisha kwa watu wake katika Agano la Kale.
|
||
|
|
||
|
# Nuni
|
||
|
|
||
|
Baba yake na Yoshua
|
||
|
|
||
|
# Vuka mto huu wa Yordani
|
||
|
|
||
|
''Kuvuka" ina maana ya " kwenda upande mwingine wa mto,"au kusafiri kutoka upande mmoja wa mto hadi upande wa pili."
|
||
|
|
||
|
# wewe pamoja na watu hawa
|
||
|
|
||
|
Neno 'wewe' humrejelea Yoshua.
|
||
|
|
||
|
# Nimewapeni ninyi
|
||
|
|
||
|
Neno "ninyi' linarejelea Yoshua na taifa la Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Nyao za miguu yenu
|
||
|
|
||
|
Ina maana ya sehemu zote ambazo Yoshua atazitembelea katika safari yake ng'ambo ya Mto Yordani.
|