forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
568 B
Markdown
20 lines
568 B
Markdown
|
# Nimeweka miguu yangu mbali na njia ya uovu
|
||
|
|
||
|
Kuepuka kufanya kilicho kiovu kinazungumziwa kana kwamba ni kuepuka kutembea kwenye njia ambazo ni za uovu. "Nimeepuka kufanya kilicho cha uovu"
|
||
|
|
||
|
# Nimeweka miguu
|
||
|
|
||
|
Hapa "miguu" inawakilisha mtu mzima. "nimejiweka"
|
||
|
|
||
|
# nifuate neno lako
|
||
|
|
||
|
"nimetii neno lako"
|
||
|
|
||
|
# neno lako
|
||
|
|
||
|
Hapa "neno" linawakilisha amri za Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Sijageuka pembeni kutoka katika amri zako za haki
|
||
|
|
||
|
Kuendelea kutii amri za haki za Mungu inazungumziwa kana kwamba mwandishi hajageuka kimwili kutoka katika amri za haki. "daima huwa natii amri zako za haki"
|