forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
805 B
Markdown
16 lines
805 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# wako wapi miungu yao, mwamba ambao wamekimbilia?
|
||
|
|
||
|
Yahwe anakaripia watu wa Israeli kwa kutafuta ulinzi kutoka kwa miungu mingine. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Tazama, miungu ambayo Waisraeli walifikiri ingewalinda haijaja kuwaokoa"
|
||
|
|
||
|
# miungu iliyokula sadaka zao nene na kunywa mvinyo wa sadaka zao za kinywaji?
|
||
|
|
||
|
Hapa Yahwe anawadhihaki watu wa Israeli kwa kutoa sadaka kwa miungu mingine. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Miungu ambayo Waisraeli walitoa nyama na divai kwao hawajaja kuwasaidia"
|
||
|
|
||
|
# Na wainuke na kukusaidia; na wawe ulinzi kwako.
|
||
|
|
||
|
Yahwe anasema hivi kuwadhihaki Waisraeli. Anajua kuwa miungu hawa hawawezi kuwasaidia. "Sanamu hizi hata hawawezi kusimama na kuwasaidia au kuwalinda"
|