forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.2 KiB
Markdown
32 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# mtu yeyote...asidhulumiwe tuzo yake
|
||
|
|
||
|
"mtu yeyote asidanganywe juu ya tuzo yake."
|
||
|
|
||
|
# anayetamani unyenyekevu
|
||
|
|
||
|
Neno "unyenyekevu" linasimama badala kwa ajili ya matendo mwingine anawafanya wengine kufikiria kwamba mwingine ni mnyenyekevu. "anayetaka kufanya mambo kuonyesha kwamba wewe ni mnyenyekevu
|
||
|
|
||
|
# kuingia kwenye vitu alivyoviona
|
||
|
|
||
|
Hapa Paulo anazungumzia kuhusu watu wanaojiita kuwa na ndoto na maono kutoka kwa Mungu na wanaongea kwa majivuno kuhusu weneyewe.
|
||
|
|
||
|
# kushawishiwa na mawazo yake ya kimwili
|
||
|
|
||
|
Hapa Paulo anasema kwamba hali ya kufikiria kaatika hali ya dhambi hufanya mtu awe na kiburi. "anayejiunua kwa maana ya ya mawazo yake ya mwili"
|
||
|
|
||
|
# kushawishiwa
|
||
|
|
||
|
Hapa ni mtu anayejivuna anazungumziwa kana kwamba ndani ya chombo ambacho kilichokuwa na hewa kufanya kirefu kuliko kilivyotakiwa kuwa.
|
||
|
|
||
|
# mawazo yake ya mwilini
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha kufikiri kama mtu wa kawaida au mwenye dhambi badala ya kama mtu wa rohoni.
|
||
|
|
||
|
# yeye hana shirika na
|
||
|
|
||
|
"Yeye hashikilii kwa nguvu" au "Yeye hatulii katika," kama vile mtoto awategemeavyo wazazi wake
|
||
|
|
||
|
# Kristo, aliye kichwa, ambaye katika yeye mwili wote umeunganishwa kwa mishipa na mifupa
|
||
|
|
||
|
Mfano huu hulinganisha mamlaka ya Kristo juu ya kanisa na kichwa cha mwanadamu ambacho kinaongoza na kusimamia mwili wote.
|