sw_tn/2ki/23/34.md

8 lines
246 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yehoyakimu akaitoza nchi kodi
"Yehoyakimu alikusanya kodi kutoka wamilikio nchi"
# watu wa nchi
"watu wa nchi ya Yuda." Maana ziwezekanazo 1) "watu walioishi katika nchi ya Yuda" au 2) "tajiri na hodari zaidi wa wale walioishi katika Yuda."