bou_rut_text_reg/01/11.txt

1 line
454 B
Plaintext

\v 11 Akini Naomi akamba, Uyani wanangu kwa mbwai nwaita nami? Kwani nina wana mwe ifu dangu kwa ajii yenu ili weze wawe wagosi wenu? \v 12 Uyani wanangu hitani kwa sia zenu kwani mie mntu mgima sasa kuwa na mgosi, kama nikamba nipate mgosi kio iki a kuvyaa wana wa kigosi hata ivyomwadaho kwekaa mpaka wakue? \v 13 Mndamwekae na nkamnamtengulwe? aaa wanangu nawaonea mbazi kwembosa kuliko mnioneavyo mbazi mimi, kwa iyo mkono wa Yahwe uiti mhitu nami."