bou_ezr_text_reg/09/08.txt

1 line
573 B
Plaintext

\v 8 Isasa kwa mda mcheche, nema kuawa kwa Yahwe Zumbe Muungu ywetu yeza kutieka tisigae wacheche na kutenka kuhimii sehemu takatifu. Inu nee iwa kwa ajii ya Zumbe Muungu yweti kutigea nulu meso yetu na kutenka ebae swiswi titendao ti watumwa. \v 9 Kwa via swiswi ti watumwa, Iya Zumbe Muungu nkazati kutijaa iya kaongeza agano da uaminifu kwetu, kayagosoa aya he meso ya mfaume wa Uajemi ili kua adahe kutenka nguvu mpyahamu. Ili kua tidahe kuzenga nyumba ya Zumbe Muungu na tidahe kuusa majibu. Kagosoa ayo ili kua adahe kutenka msingi wa usalama kwe Yuda na Yelusalemu