bou_ezr_text_reg/02/61.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 61 Viyaviya kuawa kwa wana wa kuhani; wana wa Habaya, Hakosi, Barzilai (Mwekupata mvyee kuawa kwa mndee wa Barzilai, mgileadi na aketangwa kwa zina dao). \v 62 Waondeza kumbukumbu ya kivyazi chao, akini nkachokupatina, ivyo wakauswa kwe uhuhani kuwa nkiyo wasafi. \v 63 Ivyo kiongozi akawaemeza wesekuda vikintu chochose kitakatifu chekung'azwacho mpaka kuhani wa urinu na Thumimu athibitishae.