bou_ezr_text_reg/02/40.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 40 Walawi: Wana wa Yeshua, na kadmieli, wana wa Hodavia: Sabini na nne. \v 41 Waimbaji hekaluni wana wa Asafu: 128. \v 42 Walinzi wana wa shalumu: Ateri na Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai: 139 jumla.