bou_ezr_text_reg/05/14.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 14 Mfaume Koleshi pia, kavuza vintu vya zahabu na feza vya nyumba ya Zumbe Muungu vyekuavyo Nebukadineza kavidoa kwe hekalu Yelusalemu na kuvyegaa kwe hekalu Babeli. Naye akavitunduia kwa Sheshibaza, mwekuae kamsagua kua kiongozi. \v 15 Nae akamwamba, Doa ivi vintu. Uhauke na kuviika kwe hekalu Yelusalem. Na nyumba ya Zumbe Muungu izengwe kuda.